Biblia Habari Njema

2 Wafalme 18:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Yule jemadari mkuu akawaambia, “Je, bwana wangu amenituma kutoa ujumbe huu kwa bwana wenu na kwenu tu? Je, hakunituma pia kwa watu wanaokaa ukutani ambao wamehukumiwa pamoja nanyi kula mavi yao wenyewe na kunywa mikojo yao wenyewe?”

2 Wafalme 18

2 Wafalme 18:23-31