Biblia Habari Njema

2 Wafalme 18:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Zaidi ya hayo, je, mnafikiri nimekuja bila amri ya Mwenyezi-Mungu ili kuishambulia na kuiangamiza nchi hii? Mwenyezi-Mungu ndiye aliyeniambia, “Ishambulie nchi hii na kuiangamiza!”

2 Wafalme 18

2 Wafalme 18:16-35