Biblia Habari Njema

Matendo 7:43 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mlikibeba kibanda cha mungu Moloki,na sanamu ya nyota ya mungu wenu Refani.Sanamu mlizozifanya ndizo mlizoabudu.Kwa sababu hiyo nitawapeleka mateka mbali kupita Babuloni!’

Matendo 7

Matendo 7:34-49