Biblia Habari Njema

Matendo 4:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndiwe uliyemfanya mtumishi wako, baba yetu Daudi, aseme kwa nguvu ya Roho Mtakatifu:‘Kwa nini mataifa yameghadhibika?Mbona watu wamefanya mipango ya bure?

Matendo 4

Matendo 4:19-32