Biblia Habari Njema

Matendo 20:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)

37. Wote walikuwa wanalia, na kumwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.

38. Jambo lililowahuzunisha zaidi lilikuwa neno alilosema kwamba hawangemwona tena. Basi, wakamsindikiza hadi melini.