Biblia Habari Njema

2 Wafalme 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Alipofika aliwakuta makamanda wa jeshi mkutanoni. Akasema “Nina ujumbe wako, kamanda.”Yehu akamwuliza, “Ni nani kati yetu unayemwambia?” Akamjibu, “Wewe, kamanda.”

2 Wafalme 9

2 Wafalme 9:1-6