Biblia Habari Njema

2 Wafalme 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme wa Aramu akamwambia, “Chukua barua hii umpelekee mfalme wa Israeli.”Hivyo Naamani akaondoka, huku amechukua vipande 30,000 vya fedha, vipande 6,000 vya dhahabu na mavazi kumi ya sikukuu.

2 Wafalme 5

2 Wafalme 5:1-15