Biblia Habari Njema

2 Wafalme 25:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnamo mwezi wa saba, Ishmaeli mwana wa Nethania, mjukuu wa Elishama aliyekuwa wa ukoo wa kifalme, alifika kwa Gedalia akiandamana na watu kumi, akamshambulia Gedalia, akamuua. Vilevile, aliwaua Wayahudi na Wakaldayo waliokuwa naye.

2 Wafalme 25

2 Wafalme 25:21-30