Biblia Habari Njema

2 Wafalme 20:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Tazama, siku zinakuja ambapo vyote vilivyomo nyumbani mwako na vitu vyote walivyokusanya baba zako mpaka wakati huu vitapelekwa mpaka Babuloni. Hakuna kitu chochote kitakachobaki; ndivyo asemavyo Mwenyezi-Mungu.

2 Wafalme 20

2 Wafalme 20:10-20