Biblia Habari Njema

2 Wafalme 19:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Nao wakamwambia Isaya, “Hezekia anasema hivi, ‘Leo ni siku ya huzuni, siku ya kukemewa na ya dharau. Sisi tumekuwa kama mama ambaye anataka kujifungua mtoto, lakini hana nguvu ya kumzaa.

2 Wafalme 19

2 Wafalme 19:1-8