Biblia Habari Njema

2 Wafalme 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Isaya akamwambia mfalme Hezekia, “Na hii ndio itakuwa ishara kwako Hezekia: Mwaka huu na mwaka ujao mtakula kinachomea chenyewe bila kupandwa. Lakini katika mwaka wa tatu mtapanda na kuvuna mavuno; mtapanda mizabibu na kula matunda yake.

2 Wafalme 19

2 Wafalme 19:23-30