Biblia Habari Njema

2 Wafalme 19:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa kuwatuma wajumbe wako umemkashifu Bwana,wewe umesema, “Kwa magari yangu mengi ya vita,nimekwea vilele vya milimampaka kilele cha Lebanoni.Nimekata mierezi yake mirefu,na misonobari mizurimizuri;nimeingia mpaka ndani yakena ndani ya misitu yake mikubwa.

2 Wafalme 19

2 Wafalme 19:16-24