Biblia Habari Njema

2 Wafalme 18:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Msimsikilize Hezekia, maana mfalme wa Ashuru anasema, ‘Muwe na amani nami, na jisalimisheni kwangu. Hapo kila mmoja wenu ataweza kula matunda ya mzabibu wake mwenyewe, matunda ya mtini wake mwenyewe, na kunywa maji ya kisima chake mwenyewe,

2 Wafalme 18

2 Wafalme 18:24-35