Biblia Habari Njema

2 Wafalme 18:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Walipomwita mfalme Hezekia walilakiwa na Eliakimu mwana wa Hilkia, ambaye alikuwa msimamizi wa ikulu; Shebna, aliyekuwa katibu na Yoa mwana wa Asafu, mwandishi wa kumbukumbu za mfalme.

2 Wafalme 18

2 Wafalme 18:8-24