Biblia Habari Njema

2 Wafalme 14:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Aliikomboa nchi yote iliyokuwa mali ya Israeli, kutoka Pito la Hamathi mpaka Bahari ya Araba. Hivi ndivyo alivyoahidi Mwenyezi-Mungu kwa njia ya mtumishi wake Yona mwana wa Amitai, nabii, kutoka Gath-heferi.

2 Wafalme 14

2 Wafalme 14:19-29