Biblia Habari Njema

2 Wafalme 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)

nao walinzi walisimama kuanzia upande wa kusini wa nyumba mpaka upande wa kaskazini wa nyumba na kuzunguka madhabahu na nyumba ili kumzunguka mfalme; kila mtu akiwa ameshika mkuki wake mkononi.

2 Wafalme 11

2 Wafalme 11:10-21