Biblia Habari Njema

1 Wafalme 4:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Alizungumza habari za miti, kuanzia mwerezi ulioko Lebanoni, hata husopo, mmea uotao ukutani. Alizungumza pia juu ya wanyama, ndege, jamii ya wanyama wenye damu baridi watagao mayai, na juu ya samaki.

1 Wafalme 4

1 Wafalme 4:32-34