Biblia Habari Njema

1 Wafalme 4:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Geberi, mwana wa Uri, alisimamia wilaya ya Gileadi, ambayo hapo awali ilitwaliwa na Sihoni mfalme wa Waamori, na Ogu mfalme wa Bashani.Licha ya hawa kumi na wawili, palikuwa na mkuu mmoja aliyesimamia nchi nzima ya Yuda.

1 Wafalme 4

1 Wafalme 4:9-20