Biblia Habari Njema

1 Wafalme 22:46 Biblia Habari Njema (BHN)

Matendo mengine ya Yehoshafati, ushujaa wake na vita alivyopigana, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Yuda. Wafiraji wote wa kidini waliosalia tangu nyakati za baba yake Asa, Yehoshafati aliwaondoa nchini.

1 Wafalme 22

1 Wafalme 22:44-50