Biblia Habari Njema

1 Wafalme 22:42 Biblia Habari Njema (BHN)

Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka thelathini na mitano alipoanza kutawala. Alitawala kutoka Yerusalemu kwa muda wa miaka ishirini na mitano. Mama yake alikuwa Azuba binti Shilhi.

1 Wafalme 22

1 Wafalme 22:34-46