Biblia Habari Njema

1 Wafalme 22:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo, Mikaya akasema, “Niliona watu wote wa Israeli wametawanyika milimani kama kondoo wasio na mchungaji. Naye Mwenyezi-Mungu akasema, ‘Watu hawa hawana kiongozi; basi warudi kila mtu nyumbani kwake kwa amani.’”

1 Wafalme 22

1 Wafalme 22:11-19