Biblia Habari Njema

1 Wafalme 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Pia, yupo Shimei mwana wa Gera, Mbenyamini wa Bahurimu, ambaye aliniapiza na kunilaani vikali nilipokwenda Mahanaimu; lakini alipokuja kunilaki kwenye mto Yordani, nilimwapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu nikimwambia, ‘Sitakuua kwa upanga.’

1 Wafalme 2

1 Wafalme 2:5-16