Biblia Habari Njema

1 Wafalme 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, mfalme Yeroboamu akamwambia nabii, “Tafadhali, umsihi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, uniombee mkono wangu upate kupona.” Naye nabii akamwomba Mwenyezi-Mungu, na mkono wa mfalme ukapona, ukarudia hali yake ya hapo awali.

1 Wafalme 13

1 Wafalme 13:4-13