Biblia Habari Njema

1 Wafalme 1:51 Biblia Habari Njema (BHN)

Mfalme Solomoni akapata habari kwamba Adoniya alikuwa amekimbilia hemani, na kwamba anashikilia pembe za madhabahu akisema, “Sitaondoka hapa mpaka mfalme Solomoni atakaponihakikishia kwamba hataamuru niuawe.”

1 Wafalme 1

1 Wafalme 1:42-53