Luka 24:50-52 Biblia Habari Njema (BHN) Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki. Alipokuwa anawabariki, akawaacha